Made Familiar: Tito anatamani Kuchora level 1 By OMONDI
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaMade Familiar: Tito anatamani Kuchora level 1 By OMONDI Details
Tito hana vidole mikononi. Hata hivyo, ana ndoto ya kufanya kazi ya kuchora na kupaka rangi kama wazazi wake. Siku moja, mwalimu anawaambia wachore wanyama wapendao. Je, Tito atawezaje kuchora bila vidole? Soma hadithi hii ili ujionee jinsi Tito anavyotumia ubunifu kutekeleza malengo yake.
ISBN: 9789914988888 SKU: BK00000003016