Made Familiar: Ali apigania haki yake Level 2 By MWANGI
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaMade Familiar: Ali apigania haki yake Level 2 By MWANGI Details
Ali, mvulana mwenye umri wa miaka kumi, anatamani kusoma hadi chuo kikuu. Hata hivyo, nyanya yake anamwagiza kumchungia
mbuzi badala ya kwenda shuleni. Ali anabuni mbinu za kurejea shuleni na wakati huo huo kuendelea kumsaidia nyanya yake. Je, juhudi
zake zitazaa matunda?