Made Familiar: Sakata za Juma na Bintiheri Level 5 By Ali

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Made Familiar: Sakata za Juma na Bintiheri Level 5 By Ali Details


Likizo ya Krismasi ilinukia. Zilibaki kama wiki mbili hivi. Mwalimu Kibahaluli alipepeta fikra zake mapema. Alitaka kuwapa kazi za nyumbani wanafunzi wakati wa likizo yao ndefu. Alijua wanafunzi watapumzika vyema likizoni. Vilevile, hakutaka elimu kushika butu.

Alitaka akili zao zibaki angavu. Kwa hiyo, aliwaza na kuwazua kwa muda. Hatimaye kazi ambayo angewapa wakati wa likizo ilimjia ubongoni...

Juma na Bintiheri, ambao ni binamu, pamoja na rafiki yao Lulu wanapofanya utafiti kuhusu kazi waliyopewa shuleni, wanavumbua njia kadhaa za kujipatia mapato. Je, wazazi na walimu wao watakubali na kuwekeza katika uvumbuzi wao?

ISBN: STARSHINE STUDENT CENTER SKU: BK00000003032