Made Familiar: Maandazi ya Haiba Level 3 By Emmanuel

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Made Familiar: Maandazi ya Haiba Level 3 By Emmanuel Details


Haiba na marafiki zake wanataka kumnunulia Baraka zawadi anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa. Baraka anaishi na nyanya yake ambaye anaugua. Hata hivyo, kina Haiba hawana pesa. Wanaamua kutafuta njia ya kujitafutia pesa. Je, watafaulu?

ISBN: 9789914988758 SKU: BK00000003086