Longhorn: Sudi na Shada Wasoma Lishe Bora GD2 By Nyambeka/a

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Longhorn: Sudi na Shada Wasoma Lishe Bora GD2 By Nyambeka/a Details


Sudi na Shada wanaelewa umuhimu wa lishe bora. Wakiwa shuleni, wanahakikisha kuwa wamepata lishe bora. Vyakula wanavyopikiwa ni vya lishe bora. Je, wanapikiwa vyakula vipi? Vyakula hivi vina umuhimu upi kwao?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642059 SKU: 2010143001081