Longhorn :Sudi na Shada Wasoma Kazi Mbalimbali Grade 3 By Ngugi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Longhorn :Sudi na Shada Wasoma Kazi Mbalimbali Grade 3 By Ngugi Details


Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642103 SKU: 2010143001088