Longhorn Mwanga wa Kiswahili Grade 4 (Approved) By Kangai
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaLonghorn Mwanga wa Kiswahili Grade 4 (Approved) By Kangai Details
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 4 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
ISBN: Longhorn Mwanga wa Kiswahili GD4 (Appr) SKU: 2010127000823