Heko na haki By Nyambeka

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Heko na haki By Nyambeka Details


Hadithi hii inawahusu Heko, Haki na marafiki 200 Sudi na Bidii. 
Watoto hawa wote licha ya kushiriki kwenye michezo yao kwa pamoja wanawatii wazazi wao na kila mtu 
wanaheshimiana na wanakua kulingana na wakati na umri wOO. Nina imani kuwa kila mmoja atakapoisoma 
hadithi hii ataifurahia. Je, wewe waupenda mchezo upi?
Tom Nyambeka (Mtatago) si mgeni katika uga wa uandishi. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni pamoja na Ahaa! 
Roda, kivuli cha Mauko na Bintu na Bintutu.

ISBN: 9789966115010 SKU: 2010143000930