Wakajiona wangelea hewani juu ya poa lao kama ndege wanaopuruka.
Wakajiona wakiendelea kupaa juu zaidi. Ule mwale wa mwangaza ulikuwa
umewashwa kutoka kwenye ndege ya ajabu ya Majanabl Waliona ndege hiyo hewani kama
sahani kubwa yenye toa nyingi za rangi anuwai: Je, hatima yao itakuwa ipi
baada ya kutekwa nyara na majanabi? Msururu wa Makumba ni novela
bunilizi za kisayansi za kusisimua ambazo zinatolil sayari miwil wa binadamu,
ndani ya mimea na hata ndani ya ncha ya kolamu. Dkt Hamisi Babusan
mhadhiri wa Kiswahili na Taaluma ya ufundisha Lugha katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Ni mwandishi ambaye amechangia katika nyuga mbalimbali za uandishi bunilizi na za kiakademia.
Miongoni mwa hazi zake nyingine ni Makumba na Selidamu Nyeupe, Makumba katika Safari ya Tonge,
Makumba katika safari ya Mawimbi na Makumba katika Siri ya Mwembe