Msururu wa Mbayuwayu: Kashida katika shida By Yahya Mut

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Msururu wa Mbayuwayu: Kashida katika shida By Yahya Mut Details


Kashida katika Shida
Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. 
Inamkataa na kumchukia Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo 
yanazidi kumwandama Kuna kitu fulani cha ajabu mwilini pa Kashida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake.
Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milk isipate majanga. Je, Kashida atauawa? 
Yawezekanaje Koshida awe malkia mwenye sifa na nguvu nyingi. Usingole uambiwe usome! Anza sasa...
Yahya Mutuu ni mwandishi wa vitabu vingi vya hadithi miongoni mwavyo Mwisho wa Ujambor, 
Siri ya Baba yangu: Sehemu ya kwanza na ya pill, Sungura Hakimu na Hadithi nyingine 
pamoja na msururu maarufu wa Vituko vya Panya.

ISBN: 9789966115133 SKU: 2010143000944