'Maji yaliwasomba Makumba na babuye pamoja na kinyesi na kuwarusha ndani ya shimo kubwa Makumba na babu yake walianguka pul ndani ya shimo lilitosheheni kinyesi. Walipoanguka, kinyesi zaidi kiliwaangukia na kuwafunika. Je watatengana na dunia? Msururu wa Makumba ni novela bunilizi za kisayansi za kusisimua ambazo zinatol sayari mwili wa binadamu, ndani ya mimea na hata ndani ya ncha ya kalamu, Dirt. Hamisi Babusa ni mhadhiri wa Kiswahili na Taaluma ya ufundishaji Lugha Hatika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ni mwandishi ambaye amechangia katika nyuga mbalimbal/za uandishi bunilizi na za kiakademia. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni Makumba katika safari ya Mawimbi, Malumba katika safari ya Tonge, Makumba na Majanabi na Makumba na Selidamu Nyeupe.
ISBN: 9789966115065 SKU: 2010143000943