OUP Kiswahili Dadisi Grade 3 Workbook By OUP Kenya

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

OUP Kiswahili Dadisi Grade 3 Workbook By OUP Kenya Details


Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vyo mazoezi katika mtalaa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

ISBN: 9780195747386 SKU: 2010127000812