Hadithi za Kale By Saidi
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaHadithi za Kale By Saidi Details
Hadithi hizi zimeanza kusimuliwa na Waswahili tangu zama za zama.
Wazee wanapowasimulia watoto hadithi kama hizi hukusudia si kuwafurahisha tu lakini vile vile kuwapa mafunzo.
Mwandishi, ambaye amefanya kazi ya kusomesha kwa miaka mingi, amechagua
hadithi hizi chache tu, ambazo zina mafunzo mengi ya busara.
Pia ameongeza mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi, hasa wa shule za msingi