Get it Right Kiswahili Kidato 3 na 4 marudio By N.P. Ka

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Get it Right Kiswahili Kidato 3 na 4 marudio By N.P. Ka Details


GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 3 NA 4 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa kupigiwa mfano. Gharadhi ya kitabu hiki ni kuwajengea wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne msingi imara wa kukabiliana na mtihani wa kitaifa (K.C.S.E), Ni kitabu ambacho kinakamilishana na kujalizana na GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 1 NA 2. Bila shaka wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne watanufaike pakubwa kutokana na dafina hii iliyotayarishwa kwa weledi mkubwa.

ISBN: 9789966193469 SKU: 2010127000740