Zimwi Hilo By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Zimwi Hilo By Details


Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi ya kusisimua. Hadithi hiyo ilihusu zimwi lililokuwa likiwashambulia 
wanakijiji wa Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana. Lilisemekana liliishi katika msitu 
mkubwa uliokuwa karibu na kijiji. Vijana waliamua kulisaka zimwi hilo lakini wakaambulia patupu. Kitendawili cha zimwi 
kilizua taharuki kijijini. Mkutano uliandaliwa huku kukiwa na shuku na shauku ... Zimwi Hilo ni hadithi iliyojikita 
katika fumbo. Hutajua jibu la fumbo lenyewe hadi usome hadithi hii ya kusisimua.

ISBN: 9789966342348 SKU: 2010143000290