Mateso ya Johari By
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaMateso ya Johari By Details
Maisha yanapokuwa magumu kijijini, Johari anasaidiwa na Mzee Magufuli kuiondokea hali hiyo.
Anapoondoka kijijini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, bahati yake ataipata mjini?
Atarejea kijijini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu ya maswali haya. Mateso ya Johari ni hadithi inayosimuliwa
kwa ufundi mkubwa na inayoibua mseto wa hisia. Ina mafunzo adhimu yatakayomfaidi msomaji chipukizi