Dimbwi la damu By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Dimbwi la damu By Details


Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini 
haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa.
Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu 
na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua...
Ben R. Mtobwa amekuwa mtunzi wa hadithi za kusisimua tangu alipokuwa mwanafunzi katika shule ya sekondari. Hadithi zake 
za awali zimetokea katika magazeti mbalimbali nchini Tanzania. Mbali na kitabu hiki, mna Pesa Zako Zinanuka, Tutarudi na 
Roho Zetu, na Salamu Kutoka Kuzimu ambazo zimechapishwa katika Simulizi Sisimka.

ISBN: 2010143000951 SKU: 2010143000951