Kuteleza si Kuanguka By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kuteleza si Kuanguka By Details


Kubo aliendelea na tabia hiyo ya kutoelewa masomo hadi darasa la tatu. Mwandiko wake haungeweza kusomeka kwani hakuwa makini. Aliandika herufi ndogo sana ambazo ziliwatatiza walimu hata yeye binafsi. Alipoulizwa maswali darasa hangeweza kuyajibu. Je, unyonge huu utamwandama Kubo daima dawamu? Je, hatima yake ni ipi? Soma ili upambanuliwe.

ISBN: 9789966228512 SKU: 2010143000867