Koko riko toroka ujiokoe By Muchemi
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKoko riko toroka ujiokoe By Muchemi Details
Ni siku yenye joto. Koko Riko anashikwa na woga anapoona kitu cheusi kwenye ardhi upepo anapovuma. Anatoka mbio na kuwahimiza wanyama watoroke ili kumwepuka wanyama huyo hatari. Mnyama huyo ni mnyama gani? Soma hadithi upate uhondo
ISBN: 9789966066718 SKU: 2010143001021