Nyungunyungu na Konokono... Utamu ulioje By Millie Dok/a
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaNyungunyungu na Konokono... Utamu ulioje By Millie Dok/a Details
Aoko and Ooko ni wanakunguru wawili wanaopenda vyakula anavyowaletea mama yao. Vyakula hivi kama minyoo, konokono na mabuu wanaonuka. Lakini wakila chakula kingi, watajifunza kuruka? Hadithi hii ya kusisimua imeandikwa kwa ukarara ili usomaji uwe wa kuvutia zaidi
ISBN: 9789966001771 SKU: 2010143000730