Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition By Oxford
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition By Oxford Details
Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.